Yaliyojiri barabara wakati Mgombea Urais Dkt John Pombe Magufuli akiwa njiani Kutoka Mkoani Manyara kuelekea Dodoma ambapo alipata nafasi ya kusalimia na kuwaomba kura zao zote siku ya Oktoba 28 mamia kwa mamia ya Watanzania waliojipanga barabarani kumlaki. Dkt John Pombe Magufuli alipata nafasi ya kuwasisitiza Watanzania wote kutofanya makosa siku ya kupiga kura kwa Kutoa kura Zote kwa CCM.
0 comments:
Post a Comment