.Yaliyojiri Kwenye Viwanja Vya USA River, Arumeru Mkoani Arusha ambako Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli amefanya Mkutano Mkubwa wa Kampeni muda mfupi uliopita. Arumeru wanasema walikosea sana na Sasa wamejifunza na hawataki tena kufanya Makosa. Watatoa kura zote Kwa CCM kwa nafasi ya Urais, Ubunge na Udiwani siku ya Oktoba 28,2020.
#KuraKwaMagufuli2020
#T2020JPM
0 comments:
Post a Comment