24, Disemba, 2018. Umoja wa Vijana Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa leo mbele ya waandishi wa habari wamezungumzia utendaji wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania awamu ya tano(5) inayoongozwa na Rais Dkt John Pombe Magufuli katika kipindi cha miaka mitatu. Akizungumza na waandishi wa habari leo katika ofisi za Umoja huo jijini Dar es salaam katibu mkuu wa Umoja wa vijana CCM Taifa mwl. Raymond Mwangwala amesema mpaka sasa Serikali ya chama cha Mapinduzi chini ya Rais Dkt Magufuli imefanya utekelezaji mkubwa wa mambo mbalimbali ya maendeleo…
0 comments:
Post a Comment