NA KAROLI VINSENT SERIKALI imeangukia “pua” tena kwenye kesi inayohusu masuala ya Rushwa baada ya Mahakama ya Wilaya ya Ilala imemuachia huru, Mohamed Kiluwa (50) aliyekuwa akikabiliwa na shtaka la kutoa rushwa ya Sh milioni 90 kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi kwa sababu ushahidi wa mashtaka ulikuwa wa hisia. Akisoma hukumu hiyo leo Jumatatu Desemba 24, Hakimu Mkazi Mwandamizi wa mahakama hiyo Samuel Obas amesema ushahidi uliotolewa na upande wa Serikali haukuwa na mashiko kwa sababu umeshindwa kuthibitisha kosa. “Ushahidi wa upande wa mashtaka…
0 comments:
Post a Comment