NA KAROLI VINSENT MAMBO ni Magumu kwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini,Ester Matiko baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi kisutu kuhairisha kesi hiyo hadi January 3,2019. Hatua itawafanya Mbowe na Matiko kula sikukuu ya Mwaka Mpya na sikukuu ya Krismasi ndani ya Gereza, kutokana na kufutiwa Dhamana toka Novemba 23, 2018 baada ya kukiuka masharti ya dhamana ikiwemo kutoka nje ya nchi bila kibali kwenye Kesi hiyo yenye Na. 112/2018 . Wakili wa Serikali Mwandamizi, Simon Wankyo akisaidia na wakili Salim…
0 comments:
Post a Comment