Basi la Nganga linalofanya safari Iringa - Kilombero limegongana uso kwa uso na fuso kisha magari hayo
kuteketea kwa moto huko maeneo ya milimani km kadhaa kutoka Ruaha Mbuyuni kama unaenda Morogoro.
Watu kadhaa wamepoteza maisha akiwemo dereva wa fuso hilo na wengine wamekufa kwa kuteketea na moto.
Ajali hyo imetokea leo asubuhi saa 2.
0 comments:
Post a Comment