Brigedia Jenerali Hashim Mbita; Alikimbia Kumfuata Nyerere Kutoka Butiama Hadi Kybakari 1967..!
Ndugu zangu,
Nimepokea kwa masikitiko habari za kifo cha Brigedia Jenerali Hashim Mbita. Nimepata kusoma habari nyingi zenye kumhusu. Moja ninayoikumbuka ni ile iliyoandikwa na mwandishi William Edgett Smith kwenye kitabu chake nilicho nacho kwenye maktaba yangu; ( Nyerere of Tanzania).

Mwandishi Smith anasimulia pale
Hashim Mbita alipochelewa kufika Butiama kuungana na msafara wa Julius
Nyerere wa kutembea kwa miguu kutoka Butiama kwenda Mwanza.
Hashim Mbita aliamua kukimbia mchakamchaka kutoka Butiama hadi Kyabakari. Ni umbali mrefu. Na pale Kyabakari ndipo Hashim alipoungana na msafara wa Mwalimu.
Atakumbukwa kama askari wa mstari wa mbele kwenye mapambano ya Ukombozi Kusini Mwa Afrika.
Maggid

0 comments:
Post a Comment