Habari
zilizotufikia hivi pundeMASWAYETU BLOG TEAM ni kuwa bado
jeshi la Polisi na wasamaria
wema wanaendelea kuokoa majeruhi na maiti
wa ajali ya gari iliyotokea muda wa masaa mawili yaliyopita kwa
kuuhusisha basi la Unique namba za usajili T148 BKK likitokea jijini
Mwanza kwenda Tabora kugongana na lori katika kijiji cha Ibingo kata ya
Samuye Shinyanga.
Kamanda wa jeshi la polisi mkoani Shinyanga kamishina msaidizi, Justus Kamugisha.
Habari
zilizotufikia hivi pundeMASWAYETU BLOG TEAM ni kuwa bado
jeshi la Polisi na wasamaria wema wanaendelea kuokoa majeruhi na maiti
wa ajali ya gari iliyotokea muda wa masaa mawili yaliyopita kwa
kuuhusisha basi la Unique namba za usajili T148 BKK likitokea jijini
Mwanza kwenda Tabora kugongana na lori katika kijiji cha Ibingo kata ya
Samuye Shinyanga.
Akizungumza
na MASWAYETU BLOG, Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa
Shinyanga, RTO Chacha Marwa alibainisha kuwa, hadi sasa ni watu 10
wamepoteza maisha huku 51, wakijeruhiwa vibaya na kuendelea kukimbizwa
hospitali.
“Hadi
sasa ni watu 10 wamepoteza maisha. Na tunaendelea kuokoa wengine ambao
51 ni majeruhi. hivyo bado tupo hapa kwa sasa na taarifa zaidi
tutaendelea kuzitoa” aliimbi Modewji RTO Chacha.
Hadi sasa majeruhi wamekimbizwa katika hospitali ya mkoa wa Shinyanga.
Muonekano wa eneo la ajali hiyo kwa picha iliyopigwa kwa mbali.
0 comments:
Post a Comment