Wednesday, 8 April 2015

COASTAL UNION YAKUBALI KICHAPO CHA BAO 8-0 KUTOKA KWA YANGA SC

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY


Timu ya Yanga SC imeifunga Coastal Union mabao 8-0. Wafungaji Amiss Tambwe amefunga manne, Msuva mawili, Telela, Sherman. Mechi imemalizika Uwanja wa Taifa.
Yanga SC: Ally Mustafa ‘Barthez’, Juma Abdul, Oscar Joshua/Edward Charles dk77, Nadir Haroub ‘Cannavaro’, Kevin Yondan, Mbuyu Twite/Hassan Dilunga dk67, Salum Telela, Haruna Niyonzima, Amisi Tambwe, Kpah Sherman/Nizar Khalfan dk70 na Simon Msuva.
Coastal Union: Bakari Fikirini, Juma Hamad, Abdallah Mfuko, Yussuf Chuma, Bakari Mtama, Abdulhalim Humud, Mohamed Ally, Yahya Ayoub, Rajab Mohamed/Mohammed Shekuwe dk57, Ike Bright Obinna/Mohamed Mtindi dk64 na Rama Salim/Abbas Athuman dk46.
Matokeo mengine ya leo Azam FC 1 - 1 Mbeya City.
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger