Wednesday 5 August 2020

NEC yafungua pazia fomu za wagombea Urais....NRA, DP, AAFP Wajitosa Kuchukua Fomu

...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Wakulima Tanzania (AAFP), Seif Maalim Seif na Mgombea-mwenza, Rashid Ligania wamechukuwa fomu leo ambapo wamekabidhiwa na Mwenyekiti wa NEC, Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage jijini Dodoma.

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Democratic Part (DP) , Philipo John Fumbo mara baada ya kuchukua Fomu  leo

Mgombea wa Urais kupitia Chama cha National Reconstruction Alliance (NRA), Leopold Mahona baada ya kupokea  fomu ya uteuzi ya kugombea Urais wa Tanzania inayotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). 

Zoezi la kuchukua fomu hizo limeanza leo katika ofisi za NEC jinini Dodoma. 


Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger