Wednesday 5 August 2020

Ndege za mashirika ya kimataifa Zaendelea Kumiminika Nchini.....Hapa ni Ndege Aina ya Dreamliner, A7-BCG ya Shirika la Ndege la Qatar

...
Ndege aina ya Dreamliner, A7-BCG ya Shirika la Ndege la Qatar (Qatar Airways) ikikanyaga ardhi ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) mapema asubuhi hii ikiwa ni muendelezo wa safari za ndege za mashirika ya kimataifa nchini Tanzania



Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger