Mgombea Ubunge Jimbo la Tunduma David Silinde leo Ijumaa Agosti 21,2020 amechukua Fomu Kugombea Ubunge Jimbo hilo katika Uchaguzi Mkuu 2020. Kulia ni msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Tunduma Regina Bieda akimkabidhi Fomu ya Kugombea Ubunge David Silinde
0 comments:
Post a Comment