Staa wa filamu, Wema Sepetu akiwa katika pozi eneo la Blue Carpet mara baada ya kuingia ukumbini hapo.
Jide akiongea na mashabiki (hawapo pichani) kabla ya kuimba Wimbo wa Siku Hazigandi.
Lulu akionesha kufurahishwa na jambo. Pembeni yake ni Dizzle.
Lulu akizungumza jambo. Pembeni yake ni DJ Majay ‘Majizo’.
Mama mzazi wa Lady Jaydee akiserebuka ukumbini.
Wema Sepetu akiteta jambo na staa wa Bongo Fleva, Ali Kiba.
Jide akiimba moja ya nyimbo zake.
Mshindi wa Big Brother Hotshots 2014, Idris Sultan akiingia ukumbini hapo.
Idris akikumbatiana na Wema mara baada ya kuingia.
Mbunifu wa mavazi, Martin Kadinda akiserebuka.
Nyomi ya mashabiki waliohudhuria ukumbini hapo.
Jide akiimba Wimbo wa Ndi Ndi Ndi ambao ulikuwa wa mwisho usiku huo.
Njemba moja ambaye jina lake halikufahamika, akishikiliwa na polisi mara baada ya kunusurika kichapo kwa kutaka kuiba simu.
Njemba huyo akitolewa nje na polisi.
PICHA NA RICHARD BUKOS/GPL
0 comments:
Post a Comment