Ajali basi la happy nation leo
Basi la kampuni ya HAPPY nation ikiwa inatoka arusha kwenda Handeni imepata hajali katika wilaya ya handeni kijiji cha mkata mkoani tanga.
MASWAYETU BLOG ikiongea na mmoja wa abiria ambao walikuwapo kwenye ajali hiyo amesema kwamba.
Ajali hiyo imesababishwa na dereva wa boda boda aliingia vibaya njiani,kusababishwa kugongwa.
Boda boda huyo alikuwa amebeba mtu ambao wote wamefariki dunia.
MASWAYETU BLOG inawapa pole waliofiwa na walionusurika na ajali.
TAFADHALI DOWNLOAD APPLICATION YETU YA MASWAYETU BLOG KWENYE SIMU YAKO KWA HABARI MPYA
0 comments:
Post a Comment