Habari za hivi punde zinasema rais Magufuri amemfuta kazi waziri wa mambo ya ndani Charles Kitwanga.
Sababu kubwa ni kuwa mh. Waziri Kitwanga kaingia bungeni akiwa amelewa na akaenda jibu swali akiwa amelewa..!
Source: Tbc1 Habari
======
Taarifa ya Ikulu:
0 comments:
Post a Comment