Friday 3 April 2015

NEW:"HIZI NDIO SIFA ZA KUSOMEA KOZI ZA VYUO VYA AFYA CHETI NA DIPLOMA-NURSING MWAKA WA MASOMO 2015/2016"

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                                Tokeo la picha la health institutions in tanzania
Habari yenu wadau wa blog hii pendwa ya MASWAYETU EXCLUSIVE BLOGSPOT ,Ninapenda
kuwaelezea kitu kimoja na cha muhimu sana kwamba application za vyuo vya afya 2015/2016 imeanza na deadline ni tar 18 july 2015 laikni asilimia kubwa ya watu hawajui na hawatambui kama wanasifa za kuomba  mafunzo hayo;Basi MASWAYETU EXCLUSIVE BLOGSPOT tumeamua kukutolea utata huo.

Kama wewe ni muhitimu wa kidato cha nne 2013 sifa zifuatazo zitakuwezesha kusoma either cheti au diploma katika vyuo vya afya 2015/16.
1.UWE UMESOMA MASOMO YA SAYANSI (PHYSICS,BILOGY&CHEMISTRY)
2.UWE UMEFAULU MASOMO HAYO KWA UFAULU USIOPUNGUA ALAMA D
3.AU UWE NA GPA YA 1.6 

Kama sifa tajwa hapo juu unazo Unaweza fanya application yako online,lakini kabala ya kufanya application inakubidi ulipie tshs.30000 kwa mpesa na baada ya hapo utaingia kwenye mtandao kupitia Central Admission System Kufanya application zako.

Mwisho napenda kuwatakia maombi mema na Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema awatangulie.
mwandishi ni innocent the blogger boy
Kama umependa blog yetu waweza jiunga ili uwe unapata habari moja kwa moja kwa bonyezaHAPA
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger