Tuesday 14 April 2015

MPYA:"TAARIFA NKUTOKA TAMISEMI KUHUSU SHULE ZILIZOFUNGWA KWA KUKOSA CHAKULA"-SOMA HAPA

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                                Tokeo la picha la NGAO YA TANZNAIA
Serikali hutoa huduma ya chakula
kwa Shule za Sekondari za Bweni na Shule za Msingi Elimu Maalum za Bweni kwa kuzingatia fedha zilizotengwa na upatikanaji wake katika mwaka husika. Fedha za chakula hutolewa kwa awamu na kukamilishwa katika kipindi cha mwaka wa fedha unaotekelezwa. Fedha hizi hupelekwa katika Halmashauri na baadaye watoa huduma hulipwa kwa kuzingatia huduma waliotoa kwa kila shule.
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger