
Jaji mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma akifungua mafunzo hayo
Jaji mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma amewataka majaji wa mahakama ya rufaa na mahakama kuu kutoogopa kusema au kutoa taarifa katika vyombo husika wanapobaini mapungufu katika sheria.
Jaji Mkuu Juma ametoa rai hiyo wakati akifungua...