Sunday, 13 December 2020

KARIBU SHY PARK HOTEL SHINYANGA MJINI...SHY PARK LOUNGE NI KWA AJILI YAKO..TAZAMA HAPA

...
Umesikia kuhusu Hoteli Mpya ya Kisasa iliyozua gumzo 'Shy Park Hotel' iliyopo Mjini Shinyanga?

Miongoni mwa huduma zinazopatikana Shy Park Hotel ni malazi ,vyakula, vinywaji, kumbi za sherehe/harusi na mikutano, Swimming pool kwa watoto na watu wazima, michezo mbalimbali ya watoto, Internet Cafe,Sauna, Massage, Gym, Car wash, Car Parking n.k

SHY PARK HOTEL IKO WAPI?
SHY PARK HOTEL inapatikana Lubaga nyuma ya Ikulu ndogo Mjini Shinyanga pembezoni mwa Barabara ya Old Shinyanga.

 Leo napenda kukutembeza katika eneo la vinywaji ' Shy Park Lounge' iliyopo katika Hotel ya Shy Park. 

Mawasiliano zaidi Shy Park Hotel piga simu namba +255 756 612 937, +255 687 478 822 au +255 764 772 092
Email info@shypark.co.tz

TAZAMA PICHA ZA ENEO LA LOUNGE YA SHY PARK HOTEL
Jengo la Shy Park Lounge
Ndani ya Shy Park Lounge
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger