Friday, 23 October 2020

JPM ASIMAMISHA JIJI LA ARUSHA AKINADI SERA ZA CCM... HIZI HAPA KAULI ZAKE AKIOMBA KURA

...

A-Town ilisimama kumpokea Mshua Mchapakazi na Mzalendo wa Kweli, Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli Kwenye Mkutano wake Mkubwa wa Kampeni Uliofanyika Viwanja vya Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha. Kwenye Mkutano huo wa aina yake, hizi ndizo Sera alizozinadi na kuzisema Mlinzi wa Rasilimali zetu na Kiongozi wa mfano wa dunia Dkt John Pombe Magufuli.

#KuraKwaMagufuli2020
#T2020JPM
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger