Na Kahinde Kamugisha , Ngara Wafanyabiashara ya kubadilisha fedha katika wilaya ya Ngara mkoani Kagera wameshauriwa kujisajili na kutambulika kisha kuwa na leseni kwa mujibu wa sheria kupitia benki kuu ya Tanzania BOT na shirika la fedha duniani IMF. Kaimu afisa Mfawidhi wa kituo cha forodha Kabanga wilayani Ngara Seifu Mkilindi ametoa ushauri huo mbele ya waandishi wa habari Ofisini kwake na kwamba usajili huo lazima uanze na mwenye kuwa na dola elfu 10 na kuendelea. Amesema kwa upande wa Tanzania wanaofanya biashara ya kubadilisha fedha ni wachache katika kituo…
0 comments:
Post a Comment