NA KAROLI VINSENT WAZIRI Mkuu Mstaafu,Fredrick Sumaye kesho Jumatatu ya tarehe 24 Desemba 2018 anatarajia kuzungumzia mambo mazito kuhusu hali ya nchi ambayo yamekuwa yakilalamikiwa na wengi. Kwa Mujibu wa Taarifa iliyotolewa kwa Vyombo vya Habari inasema Waziri Mkuu huyo aliyedumu kwenye nafasi yake kwa kipindi kirefu cha miaka 10 ,inasema atazungumza na waandishi wa habari kwenye ofisi za kanda ya Pwani ya Chadema zilizoko Magomeni Jijini Dar es Salaam. Taarifa hiyo ambayo haijasema nini ambacho atazungumzia Mwenyekiti huyo wa Kanda hiyo ya Pwani,ila kwa mujibu wa Mtoa Taarifa kutoka…
0 comments:
Post a Comment