Na Amiri kilagalila Naibu waziri wa Nishati Subira mgalu ameshangazwa na wananchi wa kijiji cha Usagatikwa kata ya Tandala wilayani Makete kwa kuonyesha nia ya uhitaji mkubwa wa nishati ya umeme na kumuomba Waziri huyo ridhaa ya kuchangia fedha ya usambazaji ili umeme ufike mapema katika vitongoji vyao kutokana na kuingiziwa umeme vitongoji viwili tu kati ya vitano vilivyopo katika kijiji hicho Naibu waziri akiwa wilayani humo kabla ya kuzungumza na wananchi wa kijiji hicho alifika katika kijiji cha Bulongwa na kuwasha Transfoma moja kati ya Tatu zinazohitajika huku akimtaka…
0 comments:
Post a Comment