NA KAROLI VINSENT. BILA kupepesa macho kwa Simba hii iliyosheheni wachezaji bora na viwango vya Juu ni wazi timu Nkana Fc ni kama wamekwisha na waataanzaje sasa kutoka wakati wa mchezo ligi ya Mabingwa Barani Afrika utakaofanyika kesho kwenye uwanja wa Taifa jijini hapa. Simba ambao ni Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara kupitia Kocha wake Mkuu ambaye anasifika kwa Fomesheni nzuri, Patrick Aussems, ameonesha kutamba kuwa anajua umuhimu wa mechi hiyo, hivyo wamejipanga ni hao kutoka nchini Zambia . Kocha huyo raia wa Ubelgiji amejinadi kwa kubainisha kuwa wanataka…
0 comments:
Post a Comment