NA KAROLI VINSENT AMA kweli Simba ndio wa kimataifa ,ndivyo walichokionesha leo kwenye uwanja wa Taifa baada ya kuichabanga bila huruma timu ya Nkana kutoka Zambia kwa Mabao 3-1 kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika na kutinga hatua ya Makundi. Kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha mwenye “Fomisheni” ya hatari Mbelgiji ,Patrick Aussems,ambapo Dakika 5 za mwanzo walianza vizuri ila ndani ya dakika 15 walipoteana na kuruhusu bao la dakika ya 16 lililofungwa na Walter Bwalya baada ya kushambulia lango la Simba kwa muda mrefu. Katika Mchezo huo…
0 comments:
Post a Comment