
Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Shinyanga (Shinyanga Press Club -SPC) imefanya Mkutano Mkuu wake leo Jumamosi Aprili 5, 2025 ukihudhuriwa na wanachama viongozi wa vyombo vya habari na wageni waalikwa.
Katika mkutano huo, masuala ya uendeshaji wa klabu, tathmini ya mwaka uliopita na mipango ya...