INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mbunge wa arusha mjini Godbless lema amesema leo bungeni swala la
Zanzibar si la kichama,Ni swala la nchi na lisipotafutiwa ufumbuzi lina
athari kwa kila mtu,
Lema ameenda mbali zaidi na kuwaambia Wabunge Wa CCM hii nchi
ikiharibika hata watoto wao wataharibikiwa na...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Serikali
katika mwaka wa fedha 2016/2017 imepanga kuongeza ajira kwa vijana ili
kukabiliana na changamoto ya ukosefu wa ajira kwa vijana wengi wa
kitanzania kwa kuongeza ajira na kuwezesha wengine kujiajiri kupitia
mifuko ya uwezeshaji toka Halmashauri za Wilaya nchini.
Akijibu
...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
1.0 UTANGULIZI
Imebainika kwamba bado malalamiko ya baadhi ya wanafunzi
hayashughulikiwi ipasavyo katika muda mfupi na kupelekea wanafunzi
kwenda kulalamika ofisi za juu hata kwa masuala ambayo yako wazi na
ambayo maelezo yake wangepaswa kuyapata katika ngazi za vyuo au katika
Ofisi za Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu.
Aidha, itakumbukwa...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Wabunge
wa upinzani, wakiwamo wanaootoka vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya
Wananchi (Ukawa), wamepata pigo la aina yake baada ya jukumu mojawapo
muhimu la kamati wanayopaswa kuiongoza kuondolewa kwao, imefahamika.
Kamati
hiyo ni ya Hesabu za Serikali na Mashirika...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mwanadada Rehema Chalamila ‘Ray C.
Stori: Mayasa Mariwata, Wikienda
Dar es Salaam: Inauma sana! Baada ya kuwepo kwa madai kuwa mwanadada
Rehema Chalamila ‘Ray C’ amerudia matumizi ya madawa ya kulevya ‘unga’,
Kikosi cha Oparesheni Fichua Maovu (OFM) cha Global Publishers...