Wednesday, 22 July 2015

Mwenye nyumba amchukua mke wa mpangaji

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Ni siku nyingine tena tunakutana katika kona yetu ya Vituko Mtaani, leo tunapata simulizi kutoka kwa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mbuyuni, Kata ya Azimio, Temeke jijini Dar es Salaam, Selemani Mponyo (pichani), hapa anaanza kusimulia kisa cha kusisimua.
“Mambo mengine ni aibu kuyaongea kwa umri kama wetu lakini ngoja nisimulie ili watu wajifunze. Ni kipindi kirefu sasa tangu niamue kesi iliyonishangaza sana.
“Siku moja walikuja mke na mume ofisini, mume akimtuhumu mkewe kwa kutembea na mwenye nyumba
Share:

Manyanyaso ya wadada wa kazi

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY


UTAKUWA umesikia au kuona simulizi nyingi zinazowahusu wadada wa kazi wanazokutana nazo katika familia mbalimbali. Licha ya umuhimu wao mkubwa, lakini baadhi yao wamekuwa wakichukuliwa kama watu wenye shida, wasio na maana ambao licha ya kazi yao ngumu na muhimu kwa familia, wamekuwa wakibezwa, kutukanwa na hata kupigwa.
Filamu ya Kajala inawakilisha aina hii ya kazi zinazofanywa na wasichana, ambao uzoefu unaonesha wanatokana na maisha magumu katika familia wanazotoka, yatima  au hata manyanyaso kutoka kwa ndugu wa karibu.
Share:

Mzazi umeharibika, utamnyoosha vipi mtoto?

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Jamani mbona tunajisahau na kuamini kabisa kinachotokea leo tunaonewa. Mzazi jamani anazungumza mpaka mdomo unataka kupasuka lakini mtoto ndiyo kwanza kama katiwa moto anaambiwa afanye.
Juzi nimemkuta mama mtu mzima akitokwa na machozi baada ya mabinti zake kushindwa kumsikiliza kila alilokuwa akiwaambia, lilikuwa likipitia kulia na kutokea kushoto.
Share:

Ray c awapiga mizinga wanaomchumbia

IMG_0380
Share:

MAGAZETI YA LEO JUMATANO JULAI 22,2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY


Share:

Monday, 20 July 2015

DOWNLOAD EMMANUEL AUSTIN FT BEN POL-RUKA JUU

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Share:

Kura ya Maoni ubunge na udiwani Chadema Julai 20-25 mwaka huu

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Baada ya zoezi la uchukuaji na urejeshaji wa fomu za kugombea ubunge kukamilika Majimbo yote yanatakiwa kuanza zoezi la kura ya maoni tarehe 20-25 Julai mwaka huu kwa kuzingatia Mwongozo wa Taratibu za Kura ya Maoni ambao umeshatumwa nchi nzima
Share:

Saturday, 18 July 2015

MTV MAMA 2015 : DIAMOND PLATINUMS ASHINDA TUZO YA KWANZA BEST LIVE

Share:

MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI JULAI 18 ,2015

Share:

Friday, 17 July 2015

STEVE NYERERE ACHUKUA FOMU ZA UBUNGE KINONDONI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Screen Shot 2015-07-17 at 1.01.57 PM
Chama cha CCM kilitangaza kwamba wameanza
Share:

LOWASSA APOKELEWA CHADEMA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Lowassa Chadema
Share:

Thursday, 16 July 2015

MAGAZETI YA LEO ALHAMISI JULAI 16,2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY


DSC00654
Share:

Wednesday, 15 July 2015

MZEE KINGUNGE NGOMBALE MWIRU ALALAMA JUU YA KUKATWA KWA JINA LA EDWARD LOWASSA KUWANIA URAIS

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
????????????????????????????????????
Share:

ANGALIA HAPA MATOKEO YA UALIMU DSEE,DTE,GATCE NA GATSCCE 2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY



Endapo utataka kuangaliziwa matokeo yako au ya mwanao fanya yafuatayo;
Share:

Breaking news:MATOKEO KIDATO CHA SITA(ACSEE) NA UALIMU 2015 YATANGAZWA,HAYA HAPA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Tokeo la picha la NGAO YA TANZANIA
Share:

NEW VIDEO: Nay wa Mitego (@naythetrueboy) – SINA MUDA (Official Music Video)

INNOCENT-THE BLOGGER-BOYUntitled
Share:

MAGAZETI YA LEO JUMATANO JULY 15 2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

...
 BONYEZA HAPO CHINI KUSOMA MENGINE>>>>

MAGAZETI YA LEO JUMATANO JULY 15 2015

Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger