Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Wakili Amon Mpanju, akizungumza wakati wa Semina Elekezi ya Usambazaji wa Mwongozo wa Mafunzo ya uwiano wa Kijinsia na Ujumuishaji Jamii katika huduma za ustawi wa Jami kwa Maafisa Ustawi wa Jamii wa Wizara za Kisekta,...
Jina langu ni Shadrack, nilikuwa mtu ambaye niliamini michezo ya kamari, mara kwa mara nilicheza michezo hii kwani niliamini kuwa siku moja ningweza kupata fedha nyingi kutokana na michezo hii.
Marafiki zangu wengi walikuwa wameshakata tamaa kutokana na kuliwa fedha zao tu kila wakati bila wao...
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
JAMII imetakiwa kuachana na imani potofu zinazomkandamiza mwanamke ili chaguzi zijazo, wanawake wengi wajitokeze kwa wingi katika kugombea uongozi kwenye nafasi mbalimbali kwani uwepo wao kwenye uongozi inaleta chachu ya maendeleo kwenye jamii.
Ushauri huo umetolewa...
Waandishi wa Habari Mkoa wa Shinyanga leo Jumatano Agosti 30,2023 wametembelea Bandari zinazosimamiwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa ajili ya kujionea na kujifunza namna zinazovyofanya kazi.
Bandari walizotembelea ni pamoja na Bandari ya Nchi Kavu ya Isaka wilayani...