Halmashauri ya Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga imeongoza kwa kukusanya mapato kwa 67%, ikifuatiwa na Musoma 65%, na Ilemela 55%.
Katika kundi hili Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro imekuwa ya mwisho ambapo imekusanya 37% ikifuatiwa na Kigoma 38% na Ubungo 40% ya lengo la mwaka.
Hayo yamesemwa na Waziri wa TAMISEMI Innocent Bashungwa wakati akitoa taarifa ya mapato na matumizi ya Halmashauri kwa nusu mwaka wa fedha 2021/2022.
0 comments:
Post a Comment