Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka akivuka daraja la mto Buluku lililotengenezwa kwa muda baada ya kuharibiwa na mvua za masika zinazoendelea Wilayani Kondoa na kusababisha wanafunzi kushindwa kuhudhuria masomo.
*******
Na Dotto Kwilasa-Malunde 1 blog-KONDOA
MKUU wa Mkoa wa Dodoma,Anthony...
Monday, 31 January 2022
JESHI LA POLISI LASEMA ASKARI POLISI MAHEMBE ALIJIUA KWA KUJINYONGA

Gaitan Mahembe (kushoto), ambaye ni baba mzazi wa aliyekuwa Mrakibu Msaidizi wa Polisi anayedaiwa kujinyonga, Grayson Mahembe (kulia).
**
Jeshi la Polisi limetoa ufafanuzi kuhusu taarifa za upotoshaji zinazoendelea kuhusu tukio la kujinyonga hadi kufa kwa mkaguzi msaidizi wa jeshi hilo, Grayson...
HII HAPA RATIBA YA MGAO WA UMEME

Wakati ratiba ya mgao wa umeme katika baadhi ya maeneo nchini wa siku kumi ikiwa haijatoka, wananchi, wakiwamo wafanyabiashara wadogo na sekta binafsi wanahofu shughuli zao kwenda mrama.
Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) juzi Ijumaa lilitangaza kuwapo maboresho ya vituo vya kuzalisha umeme vya...
MISS MAREKANI AJIUA KWA KUJIRUSHA GHOROFANI

Cheslie Kryst (30) aliyekuwa mlimbwende wa Marekani mwaka 2019 amefariki dunia. Kwa mujibu wa Polisi, Cheslie alijirusha ghorofani jana Jumapili, Januari 30, 2022 majira ya asubuhi huko Manhattan, New York.
Kabla ya kujirusha aliweka bandiko la picha yake Instagram yenye ujumbe; “Siku hii ikuletee...
WATU 13 WAUAWA KWA BOMU LILILOTEGWA ARDHINI WAKIWA KWENYE DALADALA

TAKRIBANI watu 13 wamefariki dunia kufuatia mlipuko uliotokea leo, Januari 31, 2022 asubuhi katika eneo la Mandera, Kaskazini mwa Kenya, karibu na mpaka wa Somalia baada ya gari la abiria (daladala) kukanyaga bomu lililokuwa limetegwa ardhini ikiwa ni siku mbili tu baada Ufaransa kutoa tahadhari...
Sunday, 30 January 2022
SERIKALI YAAHIDI MAZINGIRA BORA ZAIDI SHIRIKA LA POSTA

Msajili wa Hazina, Mgonya Benedicto (katikati) akiwasili kwa ajili ya kufunga rasmi Mkutano wa 28 wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre jijini Dodoma mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika hilo Macrice Mbodo...