Monday, 31 August 2020

Picha : KEMBAKI AZINDUA RASMI KAMPENI UBUNGE TARIME MJINI …AAHIDI MAKUBWA AKICHAGULIWA, MAKADA WATIA NENO

Mgombea ubunge Jimbo la Tarime mjini kupitia chama cha Mapinduzi CCM Michael Kembaki akizungumza na wananchi wakati wa uzinduzi wa kampeni zake. ** Na Dinna Maningo - Tarime Mgombea Ubunge Jimbo la Tarime mjini kupitia Chama cha Mapinduzi(CCM) Michael Kembaki amezinduka Kampeni ya kugombea ubunge...
Share:

ACT WAZALENDO YAZINDUA ILANI YAKE YA UCHAGUZI MKUU 2020 IKIWA NA VIPAUMBELE 10

Chama cha ACT-Wazalendo leo Agosti 31, 2020 kimezindua Ilani yake ya Uchaguzi Mkuu 2020 ikiwa na vipaumbele 10 vyenye majibu ya changamoto mbalimbali za Watanzania. Chama hicho kimezindua ilani hiyo itakayowawezesha wagombea urais, ubunge na udiwani kuinadi katika uchaguzi Mkuu unaotarajiwa...
Share:

Watumishi Wanne Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) Mikononi Mwa TAKUKURU

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kuwafikisha mahakamani watu watano wakiwemo wanne watumishi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kwa makosa ya rushwa, uhujumu uchumi na ukwepaji kodi wa Sh.153.5 milioni. Taarifa iliyotolewa leo Jumatatu tarehe 31 Agosti 2020 na Doreen Kapwani,...
Share:

Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha CHAUMMA, Hashimu Rungwe Kuzindua Kampeni Septemba 5

Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Chaumma, Hashimu Rungwe, ametangaza kuzindua kampeni zake za urais wa chama hicho Jumamosi tarehe 5 Septemba 2020 Manzese jijini Dar es Salaam. “Chaumma itaongea na wananchi 5 Septemba 2020 katika Uwanja wa Manzese Dar es Salaam kuanzia saa 8 mchana. Wananchi...
Share:

WAZAZI WAFURAHIA KUWEPO MABASI YA KUTOSHA WATOTO WAO

  Mfano wa Basi la shule Na Abby Nkungu, Singida TATIZO la wanafunzi  shule  za  mchepuo wa  Kiingereza (English Medium) kuchelewa kuchukuliwa kwenda shuleni  na kurejeshwa  nyumbani katika Manispaa ya Singida sasa limebaki historia baada ya  Serikali kuchukua...
Share:

HESLB yaongeza muda wa kuomba mkopo.....Sasa mfumo kufungwa Septemba 10 badala ya Agosti 31

Na Mwandishi Wetu Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza kuongeza muda wa siku kumi za kuomba mkopo kuanzia kesho (Jumanne, Septemba 1, 2020) ili kuwawezesha wanafunzi waombaji mkopo ambao hawajakamilisha maombi yao ya kukamilisha. Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB Abdul-Razaq...
Share:

Makonda Amshukuru Mungu Baada Ya Kupata Watoto Mapacha..."Niliitwa Tasa"

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda,  na mkewe, Maria,  wamepata watoto wengine wawili ambao ni mapacha wa kiume na wa kike. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Makonda amethibitisha kuwa mkewe Maria amejifungua na kufanya idadi ya watoto wao kufikia watatu sasa huku akimshukuru...
Share:

Mwenyekiti Wa CCM Rais Magufuli Aongoza Kikao Cha Kamati Kuu Ya Chama Cha Mapinduzi CCM Jijini Dodoma

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi pamoja na Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM wakati wakiimba Wimbo wa Chama kabla ya kuongoza Kikao hicho cha Kamati Kuu jijini Dodoma leo tarehe 31 Agosti 2020 ...
Share:

Waandishi wa Habari Waaswa kutoa elimu kwa umma kuhusiana na magonjwa ya mlipuko

Samira Yusuph Simiyu.Waandishi wa habari mkoani Simiyu wameaswa kutoa elimu kwa umma kuhusiana na magonjwa ya mlipuko ili kuongeza uelewa wa namna ya kujikinga na kukabiliana na magonjwa hayo kwa jamii. Akiwafunda waandishi wa habari, Mratibu wa magonjwa ya mlipuko mkoani Simiyu Dk Hamis Kulemba...
Share:

Waziri Wa Kilimo Awataka Watumishi Wa Wizara Ya Kilimo Kuisoma Ilani Ya Uchaguzi Ya CCM Ili Kujiandaa Na Utekelezaji Wake

Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma Watumishi wa Wizara ya Kilimo wameagizwa kuisoma ilani ya Chama Cha Mapinduzi iliyotolewa na Halmashauri kuu ya Taifa ya CCM Agosti 2020 kwa ajili ya uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu. Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga ametoa agizo hilo wakati akizungumza kwenye...
Share:

Mtoto darasa la pili, miaka (9) mkoani Kigoma alipukiwa na bomu

(Picha:Mtandao) Mtoto mwenye mwenye umri wa miaka 9 katika kijiji cha Kasumo kata ya Kajana wilayani Buhigwe mkoani Kigoma amepoteza maisha baada ya kulipukiwa na bomu Agosti 28, 2020. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Kamanda wa Polisi mkoa wa Kigoma Kamishna Msaidizi James Manyama amesema,''Mtoto...
Share:

Picha : TCRA, UCSAF WAKUTANA NA WADAU WA MAWASILIANO KANDA YA ZIWA….WASISITIZA KUJENGA MINARA YA PAMOJA

Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Ziwa Mhandisi Francis Mihayo ambaye ni Mjumbe wa Bodi ya Mfuko wa Mawasiliano kwa wote (UCSAF) akifungua Mkutano wa wadau wa mawasiliano Kanda ya Ziwa. Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger