Monday, 15 June 2020

Wabunge Watatu Wa Viti Maalum CHADEMA Wajiunga CCM

...
Wabunge watatu wa Viti Maalumu Kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo -CHADEMA  wametangaza kuachana na chama hicho na kuomba kujiunga na CCM

Wabunge hao wametangaza uamuzi huo leo Jumatatu June 15, 2020 ndani ya Bunge Jijini Dodoma

Wabunge hao ni Dkt. Immaculate Sware Semesi, Anna Gidarya na Latifa Chande


Share:

Related Posts:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger