Sunday, 28 June 2020

Mkurugenzi TAKUKURU amuondoa Boss Arusha alieonywa na Rais Magufuli

...
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), Brigedia Jenerali John Mbungo,  amepangua vituo vya kazi vya maafisa sita wa taasisi hiyo

Taarifa ya mabadiliko hayo imetolewa  Jumamosi tarehe 27 Juni 2020 na Doreen Kapwani, Afisa Uhusiano wa Takukuru.


Share:

Related Posts:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger