Monday, 22 June 2020

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Ajitosa Kugombea Urais Zanzibar

...
Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni leo tarehe 22 Juni 2020, amejitokeza katika ofisi kuu za CCM zilizopo Kisiwandui mjini Zanzibar kuchukua fomu kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) visiwani Zanzibar kugombea urais.

Masauni anafanya idadi ya makada wa chama hicho waliojitokeza kuomba kuteuliwa visiwani humo kufika 17. 


Share:

Related Posts:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger