
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Zanzibar Jecha Salum Jecha amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea nafasi ya Urais wa Zanzibar katika uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba kupitia Chama Cha Mapinduzi.
Jecha amechukua fomu hiyo leo Jumamosi Juni 20,2020 kwenye ofisi za CCM Kisiwandui.
Jecha anakuwa mwanachama wa kumi na nne (14) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwa mgombea wa nafasi ya Urais wa Zanzibar katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba

0 comments:
Post a Comment