Tuesday, 19 May 2020

KATIBU MKUU WA SHIRIKISHO LA SOKA NCHINI TFF WILFREDY KIDAU AHOJIWA TAKUKURU

...

Katibu Mkuu wa Shirikisho la soka nchini TFF Wilfredy Kidau amehojiwa na taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa.

Katibu mkuu huyo aliingia katika chumba cha mahojiano saa tatu na dakika 42 na kutoka saa tano na dakika 14.

 Baada ya kutoka ndani  Kidao hakutaka kuongea chochote na waandishi wa habari.


Hivi karibuni Mkurugenzi wa TAKUKURU Brig. John Mbungo aliweka wazi kuwa wanaendelea kuwahoji watu mbalimbali kuhusu matumizi ya fedha zilizotolewa na serikali.


Share:

Related Posts:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger