Friday, 3 April 2020

UPDATES: Mgonjwa Mwingine Wa Corona Apona Nchini Tanzania

...
"Mungu ni mwema. Na leo pia hatuna case mpya za COVID19.  Mgonjwa wa Kagera (Ngara) amepona. Sasa jumla ya waliopona ni 3. Mgonjwa aliebaki wa Arusha vipimo vyake siku ya 9 leo ni Negative. Tutampima siku ya 14 ili kujiridhisha kama  amepona. Wengine 15 waliobaki wanaendelea vzr"-UMMY MWALIMY




Share:

Related Posts:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger