Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ameongeza muda wa marufuku ya watu kusafiri na kuingia au kutoka katika mji wa Nairobi na miji mingine minne kwa muda wa siku 21 ili kuendelea kukabiliana na Virusi vya Corona.
Marufuku ya kutoka nje nyakati za usiku kwa taifa zima pia imeongezwa kwa siku 21.
Kenyatta ametangaza kuwa Kenya sasa ina visa 343 baada ya wengine 7 kuongezeka leo na wagonjwa waliopona ni 94
0 comments:
Post a Comment