Basi la Bright Line lililokuwa linatoka Mwanza kwenda Dodoma limepata ajali katika eneo la Isela barabara ya Shinyanga - Tinde baada ya kugongana na gari dogo na pikipiki. Taarifa za awali zinasema kuna vifo na majeruhi kadhaa. Inaelezwa kuwa mwendesha bodaboda na abiria wake wamepoteza maisha bado wamelaliwa na basi. Tutawaletea taarifa kamili hivi punde


0 comments:
Post a Comment