
Na.Faustine Galafoni,Dodoma.
NAIBU Waziri wa Kilimo,Husein Bashe amesema Serikali imeamua kuheshimu na kutoa kipaumbele mazao ya kilimo kama sekta zingine zinavyothaminiwa kwa kujenga miundo mbinu rafiki kwa mkulima hususani pembejeo bora.
Kauli hiyo ameitoa wakati alipokuwa kwenye mkutano wa kitaifa...