Friday, 9 August 2019

Basi la Abood lapata ajali eneo la Mkolani Jijini Mwanza

...
Basi la kampuni ya Abood linalofanya safari zake Mwanza-Dar limepata ajali asubuhi eneo la Mkolani Jijini Mwanza njiani likielekea Dar.

Inadaiwa kwamba chanzo cha ajali hiyo ni mwendesha pikipiki aliyekatiza barabara ghafla na kusababisha dereva wa basi kukosa mwelekeo.


Share:

Related Posts:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger