Sunday 3 May 2015

CHELSEA ,MABINGWA WAPYA WA LIGI KUU YA UINGEREZA EPL 2014/15

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Chelsea ndio mabingwa wapya wa ligi kuu nchini Uingereza mara baada ya kuwachinja Crystal Palace bao 1-0, mchezo uliopigwa katika uwanja wa Stamford bridge jijini London.
Bao la Chelsea lilifungwa na Eden Hazard katika dakika ya 45, kupitia mkwaju wa penati mara baada ya hapo awali kipa kupangua penati hiyo na kisha baadae kuunganisha kwa mara nyingine tena.
Ushindi huo umeipeleka Chelsea pointi 16 zaidi ya Arsenal ambao hata hivyo wana michezo mitano kibindoni.
Lakini hata Arsenal na Man City wakishinda michezo yao yote iliyosalia bado hawataweza kuwafikia Chelsea.
Hii ni mara ya tatu sasa kwa Mourinho kushinda kombe hilo akiwa na Chelsea na ni mara ya kwanza kwake tangu arudi tena klabuni hapo mwaka 2013.
Chelsea sasa watakuwa wamechukua kombe hilo kwa mara ya tano tangu klabu hiyo kuanzishwa.
Chelsea (4-2-3-1): Courtois, 6.5, Ivanovic, 7, Cahill, 7, Terry, 7.5, Azpilicueta, 7.5, Matic, 7.5, Fabregas, 6.5, Cuadrado, 5 (Mikel 46, 6), Willian, 8 (Zouma 84, 6), Hazard, 6.5 (Filipe Luis 90, 6), Drogba, 6.5
Subs: Cech, Ake, Remy, Loftus-Cheek. 
Scorer: Hazard: 45 
Booked: Ivanovic, Terry 
Jose Mourinho - 8
Crystal Palaxce (4-4-1-1): Speroni, 6, Mariappa, 6.5 (Kelly 60, 6) Dann, 7, Delaney, 7, Ward 7, Puncheon 6.5 (Sanogo 71, 6), McArthur, 7, Ledley 7, Zaha 6.5, Mutch 6.5 (Murray 61, 6.5), Bolasie 6.5
Subs: Hangeland, Hennessey, Jedinak, Lee. 
Booked: Mariappa, Dann.  
Alan Pardew - 7
MOM: Willian 
Referee: Kevin Friend (Leicestershire)
Attendance: 41, 566
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger