Monday 4 May 2015

ESTER KIAMA AFUNGUKA: JAMANI MASTAA ACHENI KUIBA WAUME ZA WATU!

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Funguka! Mwanadada mwenye mvuto wa aina yake katika kiwanda cha filamu Bongo, Ester Kiama ameibuka na kuwachana mastaa wa kike wanaopenda kuiba waume za watu kwamba waache kwani si tabia nzuri.

Ester Kiama.
Akizungumza , Ester alifunguka kuwa mastaa wanaochukua waume za watu, tabia zao siyo nzuri na kibaya zaidi wakishawachukua wanajigamba ili watu wawaone wako juu mjini wakati hawana lolote.
“Siyo kwamba sijawahi kuwa na mume wa mtu, nilishawahi lakini nimetokea kuwachukia sana kwani hawana faida zaidi ya kuwapotezea wasichana muda wao, nimejifunza mengi na sitarudia tena hivyo nawasihi wenzangu waache kuiba waume za watu kwani watarogwa tu,” alisema Ester.

BONYEZA HAPO CHINI KUANGALIA PICHA ZAIDI ZA MWANA DADA HUYU
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger