Saturday 2 May 2015

AJALI YA BOTI PEMBA :" BOTI YAZAMA NA KUUA WATU 3 PEMBA "

...


 Tokeo la picha la BOTI YAZAMA
Habari zilizotufikia usiku huu Watu 3 wamekufa maji baada
ya boti yao waliokuwa wamepanda kuzama huko wete ChakeChake mkoani Pemba botinhiyo iliyokuwa na jumla ya watu wapatao 5 ambao ni wavuvi waliokuwa wanakwenda kuvua ikidaiwa kuwa ikakumbwa na hali ya hewa kuchafuka kwa upepo mkali majira ya saa moja za usiku jitihada za kuwaokoa zianendelea  soma mzuka tutawajuza zaidi.

BONYEZA HAPO CHINI KUANGALIA MAJINA MAPYA YA WALIMU 2015 
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger