Friday 1 May 2015

BODI YA MIKOPO:"HIVI HAPA VIGEZO VITAKAVYOKUFANYA UPATE MKOPO KUTOKA BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU MWAKA WA MASOMO 2015/2016"-PIA ANGALIA KOZI ZA KIPAUMBELE HAPA

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
BODI YA MIKOPO:"HIVI HAPA VIGEZO VITAKAVYOKUFANYA UPATE MKOPO KUTOKA BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU  MWAKA WA MASOMO 2015/2016"-PIA ANGALIA KOZI ZA KIPAUMBELE HAPA

 Bodi ya mikopo ya elimu ya juu imeanza rasmi kupokea maombi
ya wale wote wanaotaka kuomba mkopo kwa mwaka wa masomo 2015/2016.Ambao wanaruhusiwa kuomba ni wale wote wataosomea;
1.DIPLOMA IN PRIMARY TEACHERS
2.DIPLOMA IN SPECIAL PROGRAMME
   SCIENCE&MATHEMATICS.

3.UNDERGRADUATE DEGREE
4.MASTER DEGREE
5.POST GRADUATE-kwa wale tu watakao dahiliwa chuo kikuu
   cha NELSON MANDELA.


Watajwa hapo juu watalipiwa gharama zao za masomo pamoja na chakula wawapo vyuoni.
Pamoja na hayo bodi ya mikopo wameanisha makundi ambayo yanahitaji kupewa mkopo,makundi hayo ni;

  A poor orphan (who has lost both parents) -yatima
 • A poor applicant with disability or applicant whoseparents have
   disability. -mlemavu
•  A poor applicant who has lost one parent.-aliefiwa na mzazi 1
•  An applicant from poor family.-familia maskini


Pia Bodi ya mikopo imesema kwamba mkopo wanautoa umegawnyika katika maeneo makuu yafuatayo;
i.  Meals and Accommodation charges -chakula na maladhi
ii.  Books and Stationery expenses -vitabu na stationary
iii.  Special Faculty Requirement expenses -mahitaji muhimu ya
       kozi yako mfano;lab coat.
iv.  Field Practical Training expenses -fedha ya field
v.  Research expenses -utafiti
vi.  Tuition Fees-ada ya chuo.



ZIFUATAZO NI SIFA NAZOTAKIWA KUWA NAZO ILI UOMBE MKOPO
1.Lazima uwe mtanzania.
2.lazima uombe kupitia ONLINE system OLAS
3.Lazima uwe umechaguliwa na chuo chochote kikuu either kupitia
   TCU au NACTE.
4.CONTINUINING STUDENTS-lazima uwe umefaulu mitihani yako ya semi ester vizuri.
5. Usiwe unafadhiliwa na shirika lolote lile.
6.Kwa FORM 6 lazima uwe umemaliza kati ya 2013-2015
7.Kwa FORM 4 lazima uwe umehitimu kati ya 2013-2015
8.Walio na diploma ni wale wa
   HEALTH&EDUCATION(science&mathematics) TU
   ndio watapewa mkopo.

KOZI ZENYE PRIORITY KATIKA UTOAJI WA MIKOPO 2015/2016 ,PIA WATAKAO DAHILIWA WANA MKOPO 100%

Zifuatazo ni kozi ambazo ni za kipaumbele kwa tanzania kwa sasa 1.Health  Sciences((Doctor  of  Medicine,  Dental  Surgery,
Veterinary  Medicine,  Pharmacy,  Nursing,  Midwifery,   BSc  in Prosthetics  and  Orthotics,  BSc  in  Physiotherapy,  BSc  in
Health  Laboratory  Sciences,  BSc  in  Medical  Laboratory
Sciences and BSc in Radiotherapy Technology);

2.Education (Sciences),  
3.Education  (Mathematics),
Diploma  in Science/Mathematics  with  Education  
Diploma  in  Primary
Education  (Science/Mathematics),  
Civil  and  Irrigation  Engineering,
Petroleum  and  Gas  engineering,   
KOZI AMBAZO MKOPO WAKE UTATEGEMEA NA STATUS YAKO MWENYEWE MFANO,DISIABILITY(-Testing basis)

1.Education  Non-Science  and  Non  Mathematics  with  two
   teaching subjects. 

2.Engineering  Programmes  (Civil,  Mechanical,  Electrical,
   Mining,  Mineral  and  Processing,  Textile,  Chemical  and
   Processing,  Agriculture,  Food  and  Processing,  Automobile,
   Industrial,  Electrical  and  Electronics,  Electronics and
   Telecommunication, Computer, Computer Science Software,
   Information Systems and Network, Environmental, Municipal
   and  Industrial  Services,  and  Bio-Processing  and  PostHarvest) 

 3.Agricultural  and  Forestry  Sciences  Programmes 
    (Agriculture  General,  Agronomy,  Horticulture,  Agricultural
     Economics  and  Agribusiness,  Forestry,  Aquaculture,  Wildlife
     Management, and Food Science and Technology) 

4.Animal Sciences and Production  

5.Sciences  Programmes  (BSc  General,  BSc  in/with  Applied
   Zoology,  Botanical,  Chemistry,  Physics,  Biology,
   Microbiology, Molecular Biology and Biotechnology, Fisheries
   and  Aquaculture,  Aquatic  Environmental  sciences  and
   Conservation,  Geology,  Petroleum  Geology,  Petroleum
   Chemistry,  Mathematics,  Mathematics  and  Statistics,
   Environmental  Science  and  management,  Environmental
   Health,  Biotechnology  and  Laboratory,   Wildlife  and
   Conservation and Computer) 
6. Land  Sciences  Programmes  (Architecture,  Landscape  and
   Architecture,  Interior  Design,  Building  Survey,  and  Land
   Management and valuation) 

WAFUATAO HAWATAKUWA NA SIFA ZA KUPATA MKOPO
All  other  candidates  admitted  into  programmes  other than  Health
Sciences,  Education  (Mathematics),  Education  (Sciences),  Civil  and
Irrigation  Engineering  and  Petroleum  and  Gas  Engineering  on  the
basis  of  indirect  or  equivalent  qualification  entrance  to  HEI  shall  not 
(imeandikwa na Innocent the blogger boy,kama unaswali email me :innocentlugano60@gmail.com)
(KWA KUTEMBELEA MASWAYETU BLOG )

BONYEZA HAPO CHINI KUANGALIA MAJINA MAPYA YA AJIRA ZA UALIMU 2015
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger