INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Endapo utataka kuangaliziwa jina lako fanya yafuatayo;
1.tuma jina lako mfano paul john(ualimu-art/science-cheti au diploma kwenda namba 0768260834
2.huduma hii utatozwa tshs.1000 tu ambayo utaituma kwa mpesa kwenda namba 0768260834(mpesa) au tigo pesa(0652740927-tigo...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Kama kawaida yetu MASWAYETU BLOG TUNAWALETEA MAJINA YA JKT KWA MUJIBU WALIOCHAGULIWA VIKOSI MBALIMBALI 2015.
Kama utapenda kunagaliziwa umepangiwa wapi tafadhali tuma jina lako kwa utaratibu ufuatao tutakujibu...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake akutana na kufanya mazungumzo na
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Algeria Mhe. Abdelaziz Bouteflika
katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Algiers Jumapili May 10, 2015 katika
siku ya pili ya ziara yake rasmi...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mwenyekiti
wa chama cha democrasia na maendeleo CHADEMA mh FREMAN MBOWE amewasili
leo katika stend ya mabas ubungo kuzungumza na madereva ambao walikuwa
wakiendeah mgomo wa kuwataka serikali iwasikilize shida zao.mh Mbowe
ambaye aliwasili hapa majira ya saa...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
VPL KUENDELEA KESHO
Ligi
Kuu ya Vodacom Tanzania bara inatarajiwa kuendelea kesho kwa mchezo
mmoja utakaopigwa katika dimba la Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam,
wenyeji timu ya Azam FC watawakaribisha Mabingwa wapya wa ligi hiyo
msimu huu timu ya Young...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Madereva wametangaza kumaliza mgomo baada ya kufikia muafaka na
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda na kuundwa kwa kamati
itakayosimamia matatizo ya madereva na kutoa taarifa baada ya siku
saba.
Read more ...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Funguka! Mwanadada mwenye mvuto wa aina yake katika kiwanda
cha filamu Bongo, Ester Kiama ameibuka na kuwachana mastaa wa kike
wanaopenda kuiba waume za watu kwamba waache kwani si tabia nzur...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Binadamu wamepoteza utu! Mwanamke mjamzito aliyefahamika kwa
jina la mama Janeth, mkazi wa Kimara-Suka jijini Dar anadaiwa kujifungua
kisha kukiweka kichanga kwenye begi...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Ajali imetokea mapema asubuhi hii basi tajwa hapo juu,Lilikuwa likitokea Mbeya kwenda Dodoma, limepata
ajali kwa kugongana ...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mwaka ujao wa masomo 2015/16 bodi ya mikopo itatoa mikopo kwa wanafunzi wa masters.
Ili ufadhiliwe masomo yako ya post graduate na Bodi ya mikopo inakubidi uwe na sifa zifuatazo...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mwaka ujao wa masomo 2015/16 bodi ya mikopo itatoa mikopo kwa wanafunzi wa masters.
Ili ufadhiliwe masomo yako ya post graduate na Bodi...