Saturday 4 April 2015

MPYA:"APPLICATION YA DIPLOMA YA SAYANSI UDOM 2015/16-SPECIAL EDUCATION"-KWA KIDATO CHA NNE WALIOMALIZA LAST YEAR 2014

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                          slide5
Chuo kikuu chaa UDOM kimeanza kupokea maombi ya kujiunga na diploma ya education katika fani ya sayansi ,ict na
mathematics,kama kawaid ayetu MASWAYETU BLOG tupo kamili katika kukupa info zaidi
SIFA ZA KUJIUNGA
1.katika kozi unayoomba mfano diploma in mathematics uwe una daraja C katika somo la mathematics katika mtihani wa kidato cha nne pamoja na D zisizopungua 3 katika masomo ya kemia,biolojia na fizikia.
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 30 june 2015,Maswayetu blog inapenda kuaambia kuwa tunawaomba mtume maombi mapema ili kuepuka usumbufu wa baadae,pia kozi hizi zina mkopo 100%.kama unaswali waweza uliza kupitia;
 email address: innocentlugano60@gmail.com
(Wako innocent the blogger boy)
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger