ASKARI
wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Kambi ya Pangawe mkoani Morogoro
wamemuokota mtoto mwenye umri wa miaka sita, Mwajuma Athuman aliyedai
kukimbia mateso kutoka kwa mama yake mkubwa Juni 17, mwaka huu.
CHUKI
tu! Katika jambo ambalo limeuumiza moyo wa Miss Tanzania 2006/07, Wema
Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ tangu awe staa, ni ishu iliyotokea
wikiendi iliyopita baada ya mtu asiyejulikana kutengeneza picha chafu ya
mama mzazi wa mrembo huyo, Mariam Sepetu na kisha kuisambaza kwenye
mitandao ya kijamii kitu ambacho kilimshtusha na kujikuta akipoteza
fahamu.
Jana
tumeona mcheza wa soka umevamiwa na wasiopaswa kuwa uwanjani. Nimetania
kwenye KwanzaJamii sports extra leo asubuhi kuwa Suarez unapoanza mpira
alipaswa akamatwe na apelekwe kufungiwa kwenye matyndu ya wanyama wakali
wafugwao!
MSICHANA
Selitian Nata (25) mkazi wa Kijiji cha Kisogo kata ya Vigwaza Wilayani
Bagamoyo mkoani Pwani yuko kwenye hali mbaya ya kiafya baada ya kuvimbamguu na kuwa kwenye maumivu makali.Ugonjwa huo uvimbe huo ulianza kama
JUMUIYA YA WANA SUA WANAFUNZI WASOMAO INJINIA LEO HII WAMEFANYA SHEREHE AMBAYO ITAKUMBUKWA NA WATU WENGI BAADA YA MTAJWA HAPO JUU MH.BEDON KUTEULIWA NA MH.RAS KUWA WAZIRI MKUU WA CHUO HICHO.
Moja ya mambo yanayojadiliwa sana na vyombo vya
habari kwa sasa, ni suala la kina dada wa bongo movies kupenda kuvaa
nguo fupi sana wanapokuwa wanaigiza filamu zetu hizi. Ikizingatiwa ni
karibuni tu, suala hili lilijadiliwa mpaka bungeni na pia siku chache
zilizopita
KIDATO CHA TANO KWA TAHASUSI ZA MASOMO YA SAYANSI, HISABATI, ENGLISH NA UALIMU KWA MUDA WA MIAKA 3
UTANGULIZI Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi inakaribisha maombi ya kujiunga na Masomo ya Kidato cha Tano kwa tahasusi za masomo ya Sayansi, Hisabati English, na Ualimu kwa muda miaka 3 kwa wahitimu wa Kidato cha IV wenye ufaulu wa Daraja la I hadi III
kati ya mwaka 2004 na 2013. Katika masomo haya mwanafunzi atasoma
masomo ya Sekondari ya Kidato cha V na VI na kufanya mtihani wa taifa wa
Kidato cha VI na kuendelea na Mafunzo ya Ualimu kwa mwaka mwingine
mmoja ambapo atatunukiwa Stashahada ya Ualimu. Awali, mfumo huu ulikuwa
unajulikana kama half combination.