Saturday, 19 December 2020

Tanzia : DK. PIUS NG'WANDU AFARIKI DUNIA

...

Aliyewahi kuwa Mbunge wa Maswa mkoani Simiyu Dkt Pius Yasebasi Ng'wandu amefariki dunia leo katika Hospitali ya mkoa wa Simiyu iliyoko mjini Bariadi alikokuwa akipatiwa matibabu. 

Dkt. Ng’wandu amewahi kushika nyadhifa mbalimbali enzi za uhai wake ikiwa ni pamoja na kuwa Balozi wa Tanzania nchini Japan,Waziri wa Maji na Waziri wa Sayansi na Teknolojia na Mkuu wa mkoa wa Shinyanga.
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger